simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Biashara … Maisha Yanasonga Mbele

leave a comment »

Maisha ni kujumlisha na kutoa. Katika kufanya hivyo, kuna kuzidisha chenji, kuna kupunja chenji na kuna kutoa chenji iliyo sahihi. Umakini ni muhimu ili kuepeka kuzidisha au kupunja. Ni muhimu kupokea kilicho sahihi na kurudisha kilicho sahihi. Pale ulipo, usizidishe chenji wala usipunje chenji bali toa na pokea kiasi kinachostahili. Mwanafalsafa Aristotle aliandika, nanukuu:”E via media, e via aurea!”, kwa kimombo: “The middle way, is the way of gold”, yaani “njia ya katikati, ndiyo njia ya dhahabu”. Tenda haki. Upokee haki. Toa haki. Siku njema wadau wa blogu hii na wapita njia wengine.

Picha hizo ni kutoka mitaa ya Tandika, jijini Dar es Salaam.

Advertisements

Written by simbadeo

September 13, 2012 at 10:12 am

Posted in Siasa na jamii

Tagged with

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: