simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Archive for January 19th, 2013

Maandalizi … Muhimu katika Kila Jambo!

leave a comment »


Ni muhimu kujenga utamaduni wa kujiandaa kwa kila jambo. Hapa ni mwanafunzi akiweka sawa vifaa vyake vya masomo tayari kwa siku inayofuatia. Samaki mkunje angali mbichi, ndivyo wahenga walivyotuasa, au siyo? Pamoja sana.

Ni muhimu kujenga utamaduni wa kujiandaa kwa kila jambo. Hapa ni mwanafunzi akiweka sawa vifaa vyake vya masomo tayari kwa siku inayofuatia. Samaki mkunje angali mbichi, ndivyo wahenga walivyotuasa, au siyo? Pamoja sana.

Written by simbadeo

January 19, 2013 at 10:59 pm

St Joseph Cathedral Bookshop … Dar es Salaam

leave a comment »


Ni mahali unapoweza kununua vitabu vya aina mbalimbali: dini, falsafa, saikolojia, makuzi ya vijana, changamoto za maisha, magazeti, majarita, kazi nyingine za sanaa kama vile vinyago, misalaba, pete, mishumaa n.k. Ni mahali tulivu pa kutembelea. Ukifika Kanisa Kuu la Mt. Joseph, basi ulizia, hutapotea na wala hutajutia muda utakaotumia ndani ya duka hilo.

Ni mahali unapoweza kununua vitabu vya aina mbalimbali: dini, falsafa, saikolojia, makuzi ya vijana, changamoto za maisha, magazeti, majarida, kazi nyingine za sanaa kama vile vinyago, misalaba, pete, mishumaa, kanda za muziki, CD, DVD n.k. Ni mahali tulivu pa kutembelea. Ukifika Kanisa Kuu la Mt. Joseph, basi ulizia, hutapotea na wala hutajutia muda utakaotumia ndani ya duka hilo.

Written by simbadeo

January 19, 2013 at 10:51 pm