simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Archive for March 9th, 2012

This strange world … Mwanamke ajigeuza ‘Kiumbe Mnyonya Damu’

leave a comment »


Look at me now: Domestic violence victim Maria Jose Cristerna became a ‘vampire’ help her recover. Photo: PA

‘Vampire Woman’ Helps Domestic Abuse Victims

By Sky News

A Mexican woman who turned herself into a vampire look-a-like after suffering years of domestic violence is helping other victims.

Mother-of-four Maria Jose Cristerna, who is known as Vampire Woman, is a 36-year-old former lawyer from a Catholic family background.

Not only is 98% of her body covered with tattoos, but she has had fangs dentally implanted into her mouth and titanium horns surgically placed beneath the skin on her head.

She says she became interested in expressing herself through piercings and tattoos as a way of recovering from the trauma of abuse and now uses her appearance to help raise awareness and help other victims.

“At first people were interested in my looks because it was cool, because it attracts attention and because it’s something different,” she said.

“But I see it as something good among all the bad, because I’m giving a message. I won’t be able to change the thinking of the entire world, but I’m always there to help the people that need it.”

Huyo ni mwanamama kutoka nchini Mexico aliyeamua kujipa mwonekano wa kutisha, akijifanananisha na ‘Viumbe wanyonya damu za binadamu’. Aliingia katika hatua hiyo baada ya kupitia mateso makubwa sana katika familia yake. Hivi sasa anatumia mwonekano wake huo kuwatia moyo wengine, hasa wale wanaoteswa kwa namna moja ama nyingine.

Source: Yahoo.com

Written by simbadeo

March 9, 2012 at 11:47 am

Posted in Siasa na jamii

Dar es Salaam: Kimara Bonyokwa… umefika

with 3 comments


Ama kwa hakika Dar es Salaam inapanuka kwa kasi kubwa. Unaweza kuwa mkazi katika jiji hili, pengine kwa miaka mingi tu, lakini, amini, kuna uwezekano mkubwa kwamba kuna maeneo mengi tu ambayo hutajawahi kufika. Hii ni barabara inayounganisha Kimara na Segerea kupitia eneo linaloitwa Kimara-Bonyokwa. Katika barabara hiyo, kuna eneo ambapo unaweza kuona katikati ya jiji la Dar kwa mbali. Hili ni eneo lenye milima mikali ambayo mkazi wa Kariakoo, Ilala, Magomeni, Chang’ombe na maeneo ya jirani na hayo hawezi kufikiri kwamba ipo katika jiji hili. Hata aina ya udongo ni tofauti. Tutembelee jiji letu kila tupatapo nafasi. Ni sehemu ya utalii wa ndani. Au siyo?

Written by simbadeo

March 9, 2012 at 12:23 am

Posted in Siasa na jamii