simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Dar es Salaam: Kimara Bonyokwa… umefika

with 3 comments

Ama kwa hakika Dar es Salaam inapanuka kwa kasi kubwa. Unaweza kuwa mkazi katika jiji hili, pengine kwa miaka mingi tu, lakini, amini, kuna uwezekano mkubwa kwamba kuna maeneo mengi tu ambayo hutajawahi kufika. Hii ni barabara inayounganisha Kimara na Segerea kupitia eneo linaloitwa Kimara-Bonyokwa. Katika barabara hiyo, kuna eneo ambapo unaweza kuona katikati ya jiji la Dar kwa mbali. Hili ni eneo lenye milima mikali ambayo mkazi wa Kariakoo, Ilala, Magomeni, Chang’ombe na maeneo ya jirani na hayo hawezi kufikiri kwamba ipo katika jiji hili. Hata aina ya udongo ni tofauti. Tutembelee jiji letu kila tupatapo nafasi. Ni sehemu ya utalii wa ndani. Au siyo?

Advertisements

Written by simbadeo

March 9, 2012 at 12:23 am

Posted in Siasa na jamii

3 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Ahsante sana kwa ufahamisho. Nami najipanga nipate muda niipite barabara hiyo.

  Like

  Fadhy Mtanga

  March 9, 2012 at 7:33 am

  • Karibu Fadhy. Inafaa kutembelea maeneo mbalimbali ili kufanya utalii wa ndani. Mara nyingine hatuhitaji kutumia gharama kubwa sana. Unachohitaji ni nauli au mafuta na fedha ya kunywa juisi/soda/bia njiani … that’s all, pengine na muda wako, ambao bila shaka ni mali. Karibu.

   Like

   simbadeo

   March 9, 2012 at 12:15 pm

 2. Nilisahau kupita hapa tena kutoa mrejesho kuwa nimefanikiwa kuipita barabara hii mara kadhaa.

  Like

  Fadhy Mtanga

  June 25, 2014 at 12:30 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: