simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Taswira … Mbalimbali kuhusu Maisha na Harakati

with 7 comments

Harakati za kusaka maisha ... hata kama ni kupitia njia zinazoangamiza mazingira ... Mbadala?

Harakati za kusaka maisha … hata kama ni kupitia njia zinazoangamiza mazingira … Mbadala?

Sanaa ya ujenzi, Kijiji cha Bwama, Kisarawe. Wenyeji wanauliza ni lini mitandao ya simu itawakumbuka, maana ingawa wako kiasi cha kilometa 50 tu kutoka Dar es Salaam, mawasiliano yao ni ya kuokoteza.

Sanaa ya ujenzi, Kijiji cha Bwama, Kisarawe. Wenyeji wanauliza ni lini mitandao ya simu itawakumbuka, maana ingawa wako kiasi cha kilometa 50 tu kutoka Dar es Salaam, mawasiliano yao ni ya kuokoteza.

Mkuza ... Kijiji cha Bwama, Kisarawe.

Mkuza … Kijiji cha Bwama, Kisarawe.

Na ... mjini maisha yanaendelea kudunda ... teknolojia na mabadiliko ya mitindo ya maisha na namna za kujipatia kipato. Lini tutaanza kutengeneza nasi vile vya kuuzwa badala ya kuuza tu vinavyotengenezwa na wengine? Ni swali linaloleta kizunguzungu.

Na … mjini maisha yanaendelea kudunda … teknolojia na mabadiliko ya mitindo ya maisha na namna za kujipatia kipato. Lini tutaanza kutengeneza nasi vile vya kuuzwa badala ya kuuza tu vinavyotengenezwa na wengine? Ni swali linaloleta kizunguzungu.

Advertisements

Written by simbadeo

July 24, 2013 at 12:10 pm

7 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Watu wa kisarawe tumieni ubunifu kujenga nyumba zilizo bora. Mtindo wa kuishi kwa mapokeo ya kihistoria hayawezi kujenga jamii inayokua kwa haraka tena yenye nasaba za kisasa. Si lazima kulaumu kila kitu baadhi ya mambo ya maendeleo yanahitaji juhudi zetu.

  Like

  Deo Isaack Kapufi

  August 14, 2013 at 3:12 pm

  • Ndugu Deo Kapufi,

   Asante sana kwa maoni. Naam, umetoa wito mzuri. Naamini watu wa Kisarawe watapokea wito huo kama changamoto ya kusaidia kuwasukuma mbele.

   Kwa upande mwingine, pamoja na kujenga nyumba za kisasa, kama zile za asili zipo, basi tusizibomoe. Tutunze utamaduni wetu na ikiwezekana tuendeleza ufundi wa jadi na kuunganisha na wa sasa ili tulete ubunifu zaidi katika ujenzi wa makazi bora yanayoendana vema na mazingira na hali ya hewa yetu.

   Pamoja sana.

   Like

   simbadeo

   August 17, 2013 at 8:16 pm

 2. Hola! I’ve been following your weblog for a long time now and
  finally got the courage to go ahead and give you a shout out from Austin Texas!

  Just wanted to say keep up the fantastic job!

  Like

 3. I wanted to thank you for this excellent read!!
  I certainly loved every bit of it. I’ve got you bookmarked
  to look at new things you post…

  Like

  androidtablet

  March 3, 2014 at 7:22 pm

 4. Great post. I used to be checking continuously this
  blog and I’m inspired! Very helpful info specially the ultimate phase
  🙂 I deal with such information much. I was seeking this particular information for a very
  lengthy time. Thanks and best of luck.

  Like

  dub custom rims

  March 4, 2014 at 3:23 am

 5. There’s definately a lot to learn about this topic. I really like all of the points you’ve made.

  Like

  Lagu Indonesia Terbaru

  April 2, 2014 at 10:53 am

 6. You need to take part in a contest for one of the
  best sites on the web. I will recommend this
  site!

  Like

  italian wines

  April 26, 2014 at 4:32 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: