simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Archive for November 10th, 2011

Kasi ya maendeleo …

with 2 comments


Nimekuta hali hii mahali fulani. Unashaurije, nimbonyeze kwenzi? Natamani tumrudishe Mzee wa Kiraracha kwenye Unaibu Waziri Mkuu wake na Uwaziri wa Mambo ya Ndani … na Uwaziri wa Kazi … vyote kwa mpigo. Nazitamani sana zile SIKU saba zake … Ukimdunda mkeo … Akikupeleka kwake … unalo … Ukichelewa kazini … unajikuta huna kiti. Acha bwana … nidhamu kazini ilirudi … japo kiduchu. Sasa hivi … naona bado hakuna wa kumpiku … Hata Mzee Magufuli alijaribu lakini siku hizi kimyaaaaaaaa!!!?????

Written by simbadeo

November 10, 2011 at 1:34 am

Posted in Siasa na jamii