simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Kasi ya maendeleo …

with 2 comments

Nimekuta hali hii mahali fulani. Unashaurije, nimbonyeze kwenzi? Natamani tumrudishe Mzee wa Kiraracha kwenye Unaibu Waziri Mkuu wake na Uwaziri wa Mambo ya Ndani … na Uwaziri wa Kazi … vyote kwa mpigo. Nazitamani sana zile SIKU saba zake … Ukimdunda mkeo … Akikupeleka kwake … unalo … Ukichelewa kazini … unajikuta huna kiti. Acha bwana … nidhamu kazini ilirudi … japo kiduchu. Sasa hivi … naona bado hakuna wa kumpiku … Hata Mzee Magufuli alijaribu lakini siku hizi kimyaaaaaaaa!!!?????

Advertisements

Written by simbadeo

November 10, 2011 at 1:34 am

Posted in Siasa na jamii

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Nimecheka kweli eti nimbonyeze kwenzi? haya mbonyeze ila jiandae kubonyezwa nawe kama sio kwenzi basi……….

  Like

  yasinta

  November 10, 2011 at 2:54 pm

 2. Hi Yasinta, baadaye nilibadili mawazo. Sikumbonyeza kwenzi, maana ‘feminists’ wangenijia juu, badala yake nilimtingisha begani taratibu na kumwuliza kama nimnunulie chandarua cha kuzuia mbu pamoja na shuka … Naye alipokea ‘offer’ hiyo … Kwa hiyo anapata usingizi mwororo zaidi pasipo bughudha ya mbu …LOL

  Like

  Deo Simba

  November 11, 2011 at 12:35 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: