simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Posts Tagged ‘TEHAMA

Ndesanjo Macha … Ashinda Tuzo ya Blog Bora ya TEHAMA

with 94 comments


This slideshow requires JavaScript.

Mtanzania, Ndesanjo Macha, ambaye kwaye Watanzania walio wengi wamejifunza masuala ya blogu na kublogu ameibuka mshindi katika mashindano yaliyoendeshwa na Highway Africa http://www.highwayafrica.com/ . Ushindi huo kutoka katika taasisi inayoheshimika sana duniani ni heshima kubwa kwa Ndesanjo ambaye unaweza kusoma zaidi habari zake hapa globalvoicesonline.org/author/ndesanjo-macha/. Unaweza kusoma zaidi kuhusu tuzo hiyo aliyoshinda .

Hapa chini ni ujumbe wake kwa wanachama wa Taasisi inayokusanya, kusambaza na kukuza sauti za majadiliano ya kwenye mitandao ya Internet http://globalvoicesonline.org/. Taasisi hiyo ina ukurasa wa lugha ya Kiswahili pia http://sw.globalvoicesonline.org/.

Hi,

The 16th Highway Africa Conference, taking place at Rhodes University, ended yesterday.

The Telkom-Highway Africa New Media Awards 2012 were in three categories:

Innovative newsroom – newsrooms across Africa can submit nominations based on their innovative use of digital media including online, social and mobile media.

Best African ICT Blog – Followers or bloggers may nominate an African-based or diasporic African blog based on its coverage, debate and use of ICTs within the African context.

Innovative use of technology for community engagement – members of communities, organisations, or supporters may nominate an organisation (either corporate or non-profit) based on their innovative use of technology within a community in Africa. The organisation does not have to be African based, but the community in which they operate must
be.

You can read more about the awards here:

http://www.highwayafrica.com/?page_id=8

Global Voices Online SSAfrica won the Best African ICT Blog (an African-based or diasporic African blog based on its coverage,debate and use of ICTs within the African context).

We received a coveted trophy and a touch screen book reader (wifi enabled).

I would like to thank our volunteer authors/translators. They are heroes and heroines and the real winners of this award. Without their efforts, we will not be where we are today. Highway Africa this year showed me the kind of respect that we have from our audience. We got this award because of your work and dedication.

Telkom-Highway Africa award shows that our work is not in vain.

We are helping our continent to rise through our roundups and amplification
of citizen media stories.

Asante sana my people!
ndesanjo

Picha zote kwa hisani ya: Ettione Ferreira anayepatikana hapa http://ettophotography.wordpress.com/

Blogu hii inasema: Hongera sana Ndugu Ndesanjo Macha kwa kupeperusha bendera ya Tanzania na Afrika ya Mashariki kwa ujumla katika ulimwengu wa ICT. Wengine tujifunze kutoka kwa Ndugu Ndesanjo Macha. Yatupasa kufanya mambo kwa kulenga kuisaidia jamii ya walimwengu kubwa bora zaidi, ni lazima kwenda zaidi sana ya mahitaji ya nafsi zetu (we must transcend beyond our own egoistic needs). Pamoja sana!

Written by simbadeo

September 15, 2012 at 10:24 am