simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Ufugaji Kuku … Sanaa ya Uuzaji » chicken kuku

with 2 comments

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

  1. Ni vyema soko likatafutwa kabla kuku hawajafikia wakati wa kuanza kuuzwa ili kukwepa kuendelea kuwahudumia pasipokuwa na ziada ya faida kwa kufanya hivyo mwishowe kujikuta ukipata hasara au kufuga bila tija. Siku hizi utafutaji wa soko umekuwa ahueni kutokana na ukuwaji wa tekinolojia ya mawasiliano hivyo ni vyema kila upatapo mteja unamwachia njia za mawasiliano ya kukupata na kumwomba awaarifi na wengine. Lakini pia hata kupitia kwenye blogs na pages tofauti za mitandao ya kijamii unaweza pia kutangaza soko lako.

    Like

    Francis Makari

    October 22, 2012 at 11:23 am

    • Naam, Ndugu Francis, umenena. Kauli yako inanikumbusha msemo wa mwalimu mmoja wa kong fu … kwamba huna budi kuona ngumi au teke la adui yako litatokea upande gani hata kabla hatalitupa. PLANNING. Umetupatia mwongozo madhubuti sana. ILA lazima nikiri kwamba kufikiri namna hii kunahitaji nidhamu na umakini. Wadau, naamini tumejifunza kitu kikubwa sana hapa kutoka kwa Ndugu Francis. Masoko yatafutwe wiki chache kabla ya kuku kuwa tayari kwa mauzo. Inapofika wakati wa kuuza ni usambazaji tu. Pamoja sana.

      Like

      simbadeo

      October 22, 2012 at 10:14 pm


Leave a comment