simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Waziri Angella Kairuki Atembelea Sekretariati ya Ajira ktk Utumishi wa Umma

with one comment

SONY DSC

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – UTUMISHI na Utawala Bora, Mhe. Angella Kairuki (Mb), kulia, akishuhudia mfumo wa maombi ya kazi (recruitment portal) unavyofanya kazi alipotembelea ofisi ya Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma mapema leo (Jumanne, Desemba 29, 2015).

SONY DSC

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma Bw. Daudi Xavier (kulia) akifafanua majukumu ya ofisi yake kwa Waziri Kairuki.

SONY DSC

Waziri Kairuki akiwahimiza watumishi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kufanya kazi kwa uadilifu.

SONY DSC

Waziri Kairuki (Mb) (kulia) akizungumza na watumishi wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma. (Picha zote kwa hisani ya Idara ya Habari, UTUMISHI).

Advertisements

One Response

Subscribe to comments with RSS.

 1. Ndani ya Idara zetu wampo mamruki, wanofanya kazi kwa maslahi ya watu fulani na itikadi fulani fulani na si kwa maslahi ya Taifa letu.

  Tunawaombeni mfanye sensa ya wafanyakazi waliomakini katika kazi zao na kutizama kwa umakini mienendo yao ( Mfano kujishughulisha na siasa na masiasa zaidi na si kazi ), kufanya kazi kwa migongo ya watu fulani au kikundi fulani cha watu, kwa maslahi ya walio wachache.

  Tizameni pia wanaohodhi madaraka na kuwanyanyasa baadhi ya wafanyakazi wasio na sauti katika idara zao.

  Tujali sana maadili katika utumishi wa umma ni si kufanya kazi kwa kuumiza au kumkomoa mtu asiye na hatia wala kosa lolote katika nafasi yoyote ile aliyonayo.

  Viongozi wetu wajali pia ”Ethical stances”, kutoa nafasi za maadili na si kusaini fomu maalumu na kuhifadhi , wawe mifano ya kuigwa na si vinginevyo.

  Like

  Deo Isaack Kapufi

  February 25, 2016 at 12:51 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: