simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Kusoma vitabu kuna utamu wake … We acha tu!

with 2 comments

Kitabu Kusoma 2015

Naam. Kimemkolea. Hata kubadili sare baada ya kutoka ni suala ambalo lilisubirishwa. Ilikuwa lazima kwanza kusoma kitabu kilichotua ndani ya nyumba siku hiyo.

Kila unapoweza … nunua kitabu kwa ajili ya watoto wako (au hata kama si wako). Pandikiza mapenzi ya kusoma na kujisomea. Lakini kubwa zaidi ni muhimu wakuone wewe mwenyewe pia ukijisomea mara kwa mara … vinginevyo … hata ukileta kitabu kitaishia kulamba vumbi.

Pamoja sana.

Advertisements

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Kuwajengea watoto utamaduni wa kusoma vitabu ni jambo la thamani mno. Nikijitazama mwenyewe kama mfano, nimenufaika vilivyo na utamaduni wa wazazi wangu kunizoesha kupenda kusoma vitabu tangu nikiwa mdogo.

  Like

  Fadhy Mtanga

  November 18, 2015 at 6:47 am

  • Very true Fadhy Mtanga. Utamaduni huu unapoanzishwa tangu utotoni, unastawi vizuri zaidi na kukua kutoka kusoma tu hadi pia kuwa mwandishi/mtunzi wa vitabu. Pamoja sana.

   Like

   simbadeo

   December 1, 2015 at 6:51 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: