simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Biashara za barabarani … Tumeelemewa

leave a comment »

Kivukoni Biashara Ndogondogo

Kwa jinsi wimbi la wafanyabiashara ndogondogo za barabarani na mikononi zinavyozidi kushamiri, ni dhahiri tumeelemewa. Hapa ni mitaa ya Kivukoni … si mbali sana na Ikulu. Tumekosa ubunifu wa kuwapatia ndugu zetu hawa ajira za uhakika … matokeo yake hatuna budi kubanana hapahapa. Kura yangu ni kwa yule atakayethibitisha kuwa atabadili hali hii … kwa kutoa ajira za uhakika kwa makundi ya watu mbalimbali au kuhakikisha kuwa wanajiajiri kwa namna bora zaidi na zenye tija zaidi kwa taifa. Pamoja sana.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: