simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Kujifunza hakuna mwisho … Fungua macho

with 2 comments

Mbuzi at sun set

Naam. Nimewapenda hawa. Nadhani ni wakati sasa nijifunze ufugaji mbuzi. Kwa wenye maarifa zaidi tafadhali watushirikishe maoni na mbinu hapa za kufanya ufugaji bora wa mbuzi.

Ninaamini katika kushirikishana maarifa. Unapowashirikisha wengine, wewe pia unazidi kukua katika weledi.

Pamoja sana.

Advertisements

Written by simbadeo

June 7, 2015 at 10:31 pm

Posted in Siasa na jamii

Tagged with , , ,

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. I do not know about goats, but the job does not look easy!!

  Like

  dray0308

  June 7, 2015 at 10:59 pm

 2. Ukitaka kufaidika katika ufugaji wa mbuzi kuna mambo mawili matatu ya kuzingatia. Mosi chagua aina nzuri ya mbuzi yaani siku hizi kuna mbuzi chotara mfano hapa arusha wapo. Pili fuga mbuzi wachache ili uweze kuwamudu vyema yaani ufugaji wa kisasa.Tatu ni mazingira na lishe bora kwa mifugo hao.
  Ukizingatia vitu vidogo kama hivi anaweza kufanikiwa sana. Haimaanishi kufuga mbuzi weeengi ndio kupata fedha nyingi. Ila sasa unaweza ukafuga wachache kwa ubora ukashangaa unauza mbuzi mmoja kwa bei ambayo ungeuza mbuzi watatu dhaifu.
  Mwaalimu nadhani vitu kama hivi nivya kuzingatia pia. Aasante sana

  Like

  pallangyomandela

  June 8, 2015 at 10:50 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: