simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Riziki Jijini … Ujuzi huu unapotea?

leave a comment »

Riziki Ujuzi

Anaitwa Nestory. Yuko kazini kwake jijini Dar es Salaam. Anaendelea kujitafutia riziki. Hata hivyo, taaluma hii inazidi kuwa adimu humu mjini. Miaka ya nyuma ilikuwa kawaida kuwaona kwenye baraza za nyumba mafundi nguo hawa, lakini siku hizi utatembea mwendo mrefu kabla ya kumwona yeyote. Inawezekana ujuzi huu unaanza kup0tea? Tujadili. Sababu ni nini? Je, ni biashara ya mitumba kushamiri sana? Je, ni kuvamiwa kwa soko la nguo na bidhaa (duni) za bei chee kutoka Uchina (na kwingineko)? Au, pengine watu wanawatumia zaidi ‘designers’ wao?

Advertisements

Written by simbadeo

June 1, 2015 at 7:29 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: