simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Usafiri Dar es Salaam: Mvua, foleni …

with 3 comments

SAM_9532

Yaani, leo nimesafiri umbali usiozidi kilomita 20 kwa saa tatu. Tukubali tu kuwa hapa tuna tatizo … na si dogo. Likizidi kupuuziwa … tutaua uchumi wa nchi yetu. Mamlaka zinazohusika ziamke. Ni wakati wa kuchukua hatua. Ni investor gani atakayevutiwa kukaa barabarani saa tatu kwenda, saa mbili kurudi? Nimechoka ile mbaya!

Advertisements

3 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. sijajua ni jambo gani litakalomtoa mtu ofisini kwake zaidi ya hili la wananchi unaowatumikia kuteseka. fikiria wagonjwa, wanafunzi, wajasiliamali, uongozi ni dhamana. Mungu tusamehe na kutusaidia . Mungu ibariki Afica Mungu ibariki TANZANIA

  Like

  Jennifer

  May 4, 2015 at 8:10 pm

  • Yaani. Da Jennifer umenena. Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania. Amina.

   Like

   simbadeo

   May 4, 2015 at 9:21 pm

 2. Sasa hivi kila kitu tanzania kimeshakuwa ni kero. Suluhisho sasa kwa kuwa familia nyingi za daa niza kitajiri! basi angalau gari moja litumike kuliko ile baba ana la kwake, mara mama, mara kaka, mara dada, na mtoto naye. Mie naona hata ukiwa na hela nyingi kuishi dar ni kero kubwa.
  Mwalimu vipi huku arusha hapafai? hamia!

  Like

  pallangyomandela

  May 11, 2015 at 1:47 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: