simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Kuku … Biashara Kubwa Dar

with one comment

SAM_9408

Hivi, ni kuku wangapi wanaliwa Dar kila siku? Thamani jumla ya biashara hii kwa siku ni shilingi ngapi? Vipi mayai ya kuku? Kumbe nawe unaweza kuwa na ‘gawio’ kwenye thamani jumla hiyo … fikiri. Kwa nini nawe usipate share katika biashara hiyo? Yes we can. Kikubwa ni kuzingatia ubora. Kwa hali ilivyo sasa … nafikiri kuna wafugaji wengi ambao wanafanya bora liende. Kwa hiyo, wewe ukianza biashara hiyo, tafadhali tuletee kuku na mayai bora.

Pamoja sana.

Advertisements

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. kuku kama kuku wanafaida kweli. mwenyewe wamenisaidia sana hizi poketi money asee acha tuu

    Like

    pallangyomandela

    May 11, 2015 at 1:32 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: