simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Afya: Safari ni ndefu

with 3 comments

Muhimbili 2

Itapendeza sana siku moja kila hospitali ya wilaya nchini, iwe walau na viwango vya huduma vinavyopatikana Muhimbili. Katika hospitali hii ya Taifa kuna changamoto nyingi … lakini bado pana unafuu kidogo kulinganisha na huko kwingine.

Advertisements

Written by simbadeo

April 19, 2015 at 2:11 pm

3 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Maendeleo …ila ni kweli afadhali na hapo kuliko kwingine…

  Like

  Yasinta Ngonyani

  April 21, 2015 at 11:58 am

  • Ni kweli Yasinta. Nje ya Dar es Salaam … huwa tunaishi kwa kudra za Mwenyezi Mungu zaidi. Watanzania tufanye kazi zaidi ili kuimarisha sekta zote muhimu za jamii hususan afya, maji, elimu, kilimo na ufundi.

   Like

   simbadeo

   April 27, 2015 at 9:37 pm

 2. hivi wameanza kufanya oparesheni za moyo kweli?

  Like

  pallangyomandela

  May 11, 2015 at 1:55 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: