simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Daraja la Kinyerezi: Sasa linapitika …

with 2 comments

Daraja Kinyerezi vvv

Naam. Hivi sasa linapitika — toka jana. Sasa masika inaruhusiwa kumiminika kama kawaida yake … maana ingalikuja kwa nguvu wiki tatu nne zilizopita … ingalikuwa majanga zaidi.

Pamoja sana.

Advertisements

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Ahsante kwa taarifa…ulipoteaga kaka

  Like

  yasinta ngonyani

  April 15, 2015 at 1:22 pm

  • Da Yasinta. Asante sana. Nipo. Vijimambo tu vilinibana. Natumai nitapata nafasi zaidi.

   Pamoja sana. Nimependa aina ya mlo uliotuwekea leo pale kwenye web yako.

   Kila la kheri.

   Like

   simbadeo

   April 15, 2015 at 2:55 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: