simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Panda Miti: Tunza mazingira, ingiza pesa, imarisha afya

leave a comment »

mwembe miche miembe miche mitiki

Mungu atupe nini? Wekeza sasa kupitia miti ili ije ikutunze miaka michache ijayo. Kuna msemo unaoishia na ‘…fainali uzeeni’. Bila shaka kila mmoja wetu anaweza kujiwekea akiba yake kupitia kilimo cha miti. Kupitia kilimo hiki utahifadhi mazingira, utaingiza pesa na utaimarisha afya yako kwani kuna miti itakayokupatia matunda.

Pamoja sana.

Advertisements

Written by simbadeo

February 23, 2015 at 6:50 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: