simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Makabila Tanzania: Utajiri wa Kujivunia

leave a comment »

Makabila Tanzania

Nimewahi kuona ramani hii mahali. Niliipenda.

Ukitazama hapa unaona kwamba Tanzania ina makabila mengi sana. Huu ni utajiri mkubwa. Yaani, tukiamua kulitazama jambo hili kwa mtazamo chanya.

Maana, kuna wanafalsafa wanaosema ‘Unity in diversity’. Kwa hiyo, tusitumie makabila kuleta mgawanyiko, bali tuutumie kuleta umoja na kujenga Taifa imara.

Je, wewe hapo kabila lako ni lipi?

Tujenge Taifa letu. Tutumie utajiri wa makabila yetu kuwa na taifa imara na lenye mshikamano wa hali ya juu.

Kwa uzoefu wangu, daima nimejisikia nyumbani kuwa katika pembe yoyote ile ya nchi hii ya Tanzania. Naamini nawe pia ndivyo ambavyo daima umejisikia — kuwa nyumbani mbali na nyumbani.

Pamoja sana.

Advertisements

Written by simbadeo

February 23, 2015 at 6:28 pm

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: