simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Safari ya maili elfu moja … huanza na hatua ya kwanza

with one comment

Entrepreneur

Ni binti mjasiriamali wa aina yake. Ingawa hakuwa tayari kunieleza jina lake, alitoa taarifa zifuatazo: Ni mkazi wa Kijiji cha Veyula. Hapa alikuwa katika Mnada wa Msalato, Manispaa ya Dodoma. Alinunua mbuzi huyo kwa Shilingi elfu 38. Yeye na mwenza wake wamejiwekea utaribu wa kununua walau mbuzi mmoja katika minada. Wanapotimia mbuzi watano au zaidi kidogo, wanabadilishana kwa ng’ombe. Kwa hiyo, kwa mtindo huo hivi sasa tayari wana ng’ombe wawili na mbuzi sita. Naam. Kupanga ni kuchagua. Safari ya maili elfu moja huanza na hatua ya kwanza. Tuna ya kujifunza kutoka kwa binti huyu Mtanzania. Pamoja sana.

Advertisements

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. polepole ndio mwendo, ila watu wanataka chapchap!

    Like

    Jennifer

    April 9, 2014 at 11:05 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: