simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Lesson from a young couple … Dodoma, Tanzania

with one comment

Bw Frank Lema akiwa na mkewe Glorious pamoja na mtoto wao Nashon (aliyebebwa na baba huku amefunikwa). Ni katika Jumapili ya tarehe 6 April, 2014 katika mitaa ya mjini Dodoma. Kwa hakika, vijana hawa wanandoa wana jambo kubwa la kutufundisha akiba baba -- Malezi ya mtoto ni ya baba na mama. Asiachiwe majukumu yote mama, hususan katika kuwa karibu na watoto. Pamoja sana!

Bw Frank Lema akiwa na mkewe Glorious pamoja na mtoto wao Nashon (aliyebebwa na baba huku amefunikwa). Ni katika Jumapili ya tarehe 6 April, 2014 katika mitaa ya mjini Dodoma.
Kwa hakika, vijana hawa wanandoa wana jambo kubwa la kutufundisha akiba baba — Malezi ya mtoto ni ya baba na mama. Asiachiwe majukumu yote mama, hususan katika kuwa karibu na watoto.
Pamoja sana!

Advertisements

Written by simbadeo

April 6, 2014 at 5:08 pm

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. Hakika ni mfano mzuri na inapendaza sana. Nimependa

    Like

    Yasinta Ngonyani

    April 7, 2014 at 9:58 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: