simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Obama … Wengine Walivyomuaga

with one comment

Barabara zilifungwa

Barabara zilifungwa

Wakazi wa Dar es Salaam na vitongoji vyake walijipanga kando kando ya barabara alizotarajiwa kupita. Hapa ni Tabata Sheli.

Wakazi wa Dar es Salaam na vitongoji vyake walijipanga kando kando ya barabara alizotarajiwa kupita. Hapa ni Tabata Sheli.

Akina mama na watoto nao hawakuwa nyuma, hadi vichanga!

Akina mama na watoto nao hawakuwa nyuma, hadi vichanga!

Ulinzi ulitamalaki. Barabara zilikuwa nyeupe.

Ulinzi ulitamalaki. Barabara zilikuwa nyeupe.

Kila nafasi ya kuwezesha kuona vizuri ... ilitumika.

Kila nafasi ya kuwezesha kuona vizuri … ilitumika.

Akina Obama wadogo nao hawakuwa nyuma ... Naam, wana mengi ya kujifunza kutoka kwa Obama mkubwa.

Akina Obama wadogo nao hawakuwa nyuma … Naam, wana mengi ya kujifunza kutoka kwa Obama mkubwa.

Kazi zilisimama ...

Kazi zilisimama …

Walibadilishana mawazo mawili matatu ... bila shaka jina la Obama likitawala mazungumzo.

Walibadilishana mawazo mawili matatu … bila shaka jina la Obama likitawala mazungumzo.

Safari zilisitishwa... kwa muda.

Safari zilisitishwa… kwa muda.

Ngoja japo tuone 'The Beast'...

Ngoja japo tuone ‘The Beast’…

Naam ... The Beast ... hatimaye.

Naam … The Beast … hatimaye.

Kwa heri ya kuonana Bw Barack Obama, Rais wa 44 wa Marekani. Tunawatakia heri ya sikukuu ya uhuru wa nchi yenu hapo kesho tarehe 4 Julai. Miaka 237 ya uhuru si mchezo, ukilinganisha na ya kwetu 50. Lakini nasi tutafika. Kama ulivyoona, tunawajongelea kwa kasi hata kama mara nyingine mambo ni magumu kwa sababu ya kuwa na watu wachache wasio na uzalendo. Lakini hata kwenye shamba la mahindi magugu huota, au siyo? Lakini pale magugu yanapoota na si yenyewe yaliyokusudiwa kuneemeka na mbolea ya shambani, nini hufanyika? Hupaliwa, huachwa yakaushwe na jua kisha huchomwa moto! Ndivyo tutakavyofanya. Karibu tena mwakani, na mwaka mwingine na daima.

Advertisements

Written by simbadeo

July 3, 2013 at 1:57 pm

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. Tanzania can keep Obama. He’s useless to the USA.

    Like

    Dabby

    July 6, 2013 at 5:58 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: