simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Viongozi wa G8 … Tazama Uvaaji

with 4 comments

Naam. Hawa ndiyo viongozi wa Mataifa 8 mazito zaidi duniani kiuchumi, kijeshi na kiushawishi. Nimeguswa sana na uvaaji wao ulio 'simple' and 'unsophisticated' tofauti sana na ulimwengu wetu huku. Bado hainiingii akilini unawezaje kuvaa suti jijini Dar es Salaam na likawa ndiyo vazi lako la kila siku. Well. Ni maoni binafsi hata hivyo.

Naam. Hawa ndiyo viongozi wa Mataifa 8 mazito zaidi duniani kiuchumi, kijeshi na kiushawishi. Nimeguswa sana na uvaaji wao ulio ‘simple’ and ‘unsophisticated’ tofauti sana na ulimwengu wetu huku. Bado hainiingii akilini unawezaje kuvaa suti jijini Dar es Salaam na likawa ndiyo vazi lako la kila siku. Well. Ni maoni binafsi hata hivyo.

Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi. Afadhali hali ya hewa ya Burundi inaruhusu uvaaji huu ... lakini Dar?

Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi. Afadhali hali ya hewa ya Burundi inaruhusu uvaaji huu … lakini Dar?

Advertisements

Written by simbadeo

June 20, 2013 at 8:33 am

4 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Inaelekea huna suti! lol

  Like

  jennifer

  June 20, 2013 at 4:16 pm

  • unatafuta ugomvi waulize…….. wazo binafsi lakini

   Like

   jennifer

   June 20, 2013 at 4:17 pm

   • Ha! Ha! Ha! Jenny. Hakuna ugomvi hapo ndiyo maana nilitangulia kusema kwamba ni maoni yangu, na maoni yangu si lazima yafanane na ya mwingine. Tena, kuna usemi, ambao mimi sikubaliani nao, ”’personality knows no weather … Kwamba utanashati haujali hali ya hewa. Kwa hiyo, kama uko Dar, ni joto la 32 degrees centigrade … na unataka kutoka bomba kwenda viwanja, ofisini au kwingineko … unaniga bonge ya tai, juu unatupia bonge ya jumba, tena lenye lebo (naam, watajuaje kwamba wewe mtu wa kwenda na fashion … na kama ujuavyo … kwenda na fashion, maana yake unazo tele mfukoni). Haya … ngoja tuishie hapo.

    Like

    simbadeo

    June 21, 2013 at 11:27 am

  • Da Jenny, umepatia. Nina suti moja, nayo nimeivaa mara ya mwisho Njombe mwaka 2009. Hali ya hewa kule inaruhusu. Hapa Dar … T-shirt inanitosha. Na zenyewe ninazo tatu. Aah. Nimekumbuka, nina mashati matatu pia. Hizi zinanitosha sana. Kikubwa, nahakikisha kila ninapoivua, basi imefuliwa, tayari kuvaliwa kesho yake au keshokutwa yake. Pengine mimi ni ‘minimalist’?

   Like

   simbadeo

   June 21, 2013 at 11:22 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: