simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

50th Anniversary of African Union … Dar Images

leave a comment »

Pamako Products. Wine za Rosella na Juice za Rosella. Anapatikana Kijiji cha Malegea, P.O. Box 20, Nansio, Ukerewe, Mwanza. +255-762-008327.

Pamako Products. Wine za Rosella na Juice za Rosella. Anapatikana Kijiji cha Malegea, P.O. Box 20, Nansio, Ukerewe, Mwanza. +255-762-008327.

Band ikitumbuiza

Band ikitumbuiza

Naam. Mwanadada alifanya makubwa.

Naam. Mwanadada alifanya makubwa.

Walikamilisha burudani ... ilinoga sana.

Walikamilisha burudani … ilinoga sana.

Mavazi bora ... kazi ya ubunifu.

Mavazi bora … kazi ya ubunifu.

Dreads na mapambo ya Kimasai ya akina mama.

Dreads na mapambo ya Kimasai ya akina mama.

Bw Eliakim Laizer wa Ilkiding'a. Watembelee hapa: www.ilkidinga.com. Naye unaweza kumpata hapa: +255 713 520 264.

Bw Eliakim Laizer wa Ilkiding’a. Watembelee hapa: http://www.ilkidinga.com. Naye unaweza kumpata hapa: +255 713 520 264.

Naam, baadhi ya nchi zilizowakilishwa.

Naam, baadhi ya nchi zilizowakilishwa.

Kazi za sanaa ... kazi za mikono ya mwanadamu ... ubunifu wa hali ya juu.

Kazi za sanaa … kazi za mikono ya mwanadamu … ubunifu wa hali ya juu.

Madam Khadija M. John wa Khadija Designs. Anapatikana Kwakilosa Area, P. O. Box 1679, Iringa, Tanzania. +754 496916.

Madam Khadija M. John wa Khadija Designs. Anapatikana Kwakilosa Area, P. O. Box 1679, Iringa, Tanzania. +754 496916.

Pochi ... mikoba ... ndiyo mahali pake.

Pochi … mikoba … ndiyo mahali pake.

Inapendeza. Sana.

Inapendeza. Sana.

Ni katika maadhimisho ya kumbukumbu za miaka 50 tangu kuanzishwa wa Umoja wa Afrika (zamani OAU na siku hizi ni AU). Kuna mengi ya kutafakari.

1. Uhuru wa bendera umepatikana — Je, ni lini Afrika itajikomboa dhidi ya UTAWALA wa wakoloni (weusi)?
2. Amani bado ni bidhaa adimu na tete barani humu … Je, AU ina ubavu wa kutuliza mambo na kurekebisha hali ya mambo? Kwa nini miaka 50 baada ya uhuru bado tuna pengo kubwa la kimapato kati ya matajiri na masikini?
3. Yaani, kwa nini tuwe na matajiri 3 katika kila watu 100, huku watu wa daraja la kati wakiwa 7 na wengine waliobaki wakiwa ni masikini wa kutupwa?
4. Changamoto yetu ni kubadili mwenendo huo wa kitakwimu ili kwamba walau tuwe na watu 90 wa kipato cha kati katika watu 100, kisha tuwe na matajiri 7 na masikini 3 tu.
5. Wewe, mimi, yule … tuna wajibu katika kufikia mabadiliko hayo. Kila mmoja ajitume na kutimiza wajibu wake kikamilifu.

Pamoja sana. Siasa ziwekwe kando. Tunataka vitendo, vitendo, vitendo.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: