simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Wanahabari … Safari ya Kujenga Nchi na Utu

leave a comment »

Wanahabari Kazini...

Wanahabari Kazini…

Vyombo vya habari ni mhimili wa nne wa dola (fourth estate). Tukumbuke:

– Kuhabarisha bila upendeleo
– Kutoa fursa ya kusikilizwa kwa kila upande
– Kutoa habari zinazosaidia jamii kujengeka katika namna ya kufikiri kwa ubora
– Kuibua maovu yaliyojificha katika jamii ili kuisaidia jamii kupata haki na usawa zaidi
– Kukuza uhuru wa kujieleza pasipo kuvunja sheria
– Kuburudisha
– Kuelimisha
– Kukosoa
– Kuonya
– Kubashiri yanayoweza kutokea baadaye kwa kuchambua yale yanayoendelea sasa
– Kujenga mshikamano wa kitaifa, maelewano, kuchukuliana, kuvumiliana na kukuza uzalendo
– Kuipa jamii fursa ya kueleza inataka kuwa na sura gani na kuonyesha namna gani kila mwanajamii anavyojibidisha kuelekea lengo hilo kuu la pamoja

Na mengine mengi yenye kuongeza tija katika uzalishaji, kujali utu wa mtu, kuheshimu haki za binadamu na yanayohusiana na hayo.

Pamoja sana.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: