simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Dini … Mwendo Mzuri Tanzania

with one comment

Rais Kikwete na Viongozi wa Dini Ikulu

Rais Kikwete na Viongozi wa Dini Ikulu 2

Rais Jakaya Kikwete alipokutana na viongozi wa dini Ikulu, jijini Dar es Salaam wiki hii. Naam. Ni utaratibu mzuri na yafaa uendelezwe. Hata hivyo, lazima hatua ya juu zaidi ichukuliwe — hiki kinachoonekana hapa, kionekane pia katika maisha ya kawaida ya watu — kuleta mshikamano, umoja, upendo, kuvumiliana, kuchukuliana na kutazamana kwanza kabisa kama watu na Watanzania kabla ya makabila na dini zetu. Hatua hii ni ya kupongezwa.

Tuache kuzungumza udini na kuukumbatia, tuzungumze maendeleo ya Watanzania, namna gani tuongeze ubora katika huduma za jamii zinazogusa maisha ya watu moja kwa moja — afya, elimu, maji, usafiri wa uhakika, usalama wa chakula, usalama wa mali, miundombinu bora ya usafiri na mawasiliano, fursa zaidi za kuinyanyua Tanzania katika tasnia mbalimbali kama vile viwanda, michezo, sanaa n.k.

Ni kwa mshikamano na uelewano ndipo tutafika mbali kimaendeleo na si katika utengano na kubaguana.

Pamoja sana.

Chanzo cha picha: Wavuti

Observation moja: Wakina mama wako wapi katika nafasi za uongozi kwenye madhehebu ya dini?

Advertisements

Written by simbadeo

April 24, 2013 at 7:51 am

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. Ndiyo tunahitaji mshikamano, umoja, upendo, uvumilivu.

    Like

    mzuridini

    June 10, 2014 at 10:11 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: