simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Habari za Hivi Punde … Boston, Marekani Hali Si Shwari Bado

leave a comment »

Ulinzi mkali katika mji mmoja jirani na Boston huko Marekani

Ulinzi mkali katika mji mmoja jirani na Boston huko Marekani

Hekaheka za mabomu na kamatakamata nje ya Boston, Marekani

WATERTOWN, Mass. (AP) — Polisi wamejikusanya nje ya jiji la Boston mahali paliporipotiwa kwamba mabomu yalikuwa yakilipuliwa na polisi wamewaamuru waandishi wa habari kuzima simu zao za mkononi.

Makumi ya maofisa na Walinzi wa Taifa wapo katika mji wa Watertown, ambamo vituo vya televisheni vimeripoti kwamba milio ya bundi na milipuko ilisikika. Kuna helikopta inayozunguka katika anga la mji huo.

Mapema Ijumaa maofisa wa serikali walimwamuru mtu fulani kupiga magoti na kunyanyua mikono na kisha kishindo kikubwa kusikika baada ya mtu mmoja kupiga kelele akisema “kuna moto kwenye shimo.”

Waandishi wa habari wanashauriwa kuondoka kutoka eneo hilo. Askari polisi mmoja alimwambia mwandishi wa habari: “Kama unataka kuishi, zima simu yako ya mkononi.”

Alhamis usiku, askari polisi katika kampasi ya chuo cha MIT alipigwa risasi, ambapo vyombo vya dola vinaendelea kumsaka mtu aliyefanya mauaji hayo.

Chanzo: Associated Press on Yahoo!

Advertisements

Written by simbadeo

April 19, 2013 at 9:40 am

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: