simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Sanaa … Tunaweza Kwenda Zaidi ya Hapa

with 2 comments

Katika makutano ya Barabara za Uhuru na Msimbazi ...

Katika makutano ya Barabara za Uhuru na Msimbazi …

Ubunifu. Kupendezesha Mazingira. Kuchochea fikra.

Ubunifu. Kupendezesha Mazingira. Kuchochea fikra.

Naam. Tunaweza kwenda mbali ya hapa. Bahari, samaki, ngalawa zinawakilisha rasilimali zetu na kazi za ubunifu wetu. Nafikiri wakati umefika tufikirie pia kazi za sanaa zinazochochea fikra za kimapinduzi. Tunaweza kuwa na sanamu za watu kama Mwalimu Nyerere, Patrice Lumumba, Kwame Nkrumah, Mzee Mandela, Kinjekitile Ngwale, Mtemi Mirambo, Mtemi Mkwawa na wengine wote wale ambao walizivuka nafsi zao kwa maslahi ya wengi. Kuna watu kutoka kila tasnia … siasa, uandishi wa vitabu, elimu, ulinzi na usalama wa Taifa, afya, utetezi wa wanyonge, utawala bora, haki za binadamu n.k.

Kupitia kazi za sanaa, tuwasaidie watu wetu kufikiri kwa usahihi, kupata mahali pa kuchota ujasiri, ushupavu, uchapa kazi, uhodari katika tasnia na fani zao, unyenyekevu, uzalendo na mambo mengine yatakayosaidia kusimika na kuimarisha misingi ya Taifa na hivyo kuchochea maendeleo chanya yenye uwiano mzuri kwa mustakabali wa Taifa letu.

Pamoja sana.

Advertisements

Written by simbadeo

April 14, 2013 at 10:48 am

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. Reblogged this on misentopop.

  Like

  GP

  April 14, 2013 at 10:50 am

 2. Howdy.
  Would you mind sharing which blog platform you’re using? I’m going to start
  my own blog soon but I’m having a hard time selecting between BlogEngine/Wordpress/B2evolution and Drupal. The reason I ask is because your design and style seems different then most blogs and I’m looking for something unique.

  P.S. Apologies for being off-topic but I had to ask!

  Like

  Ashli

  April 21, 2013 at 3:33 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: