simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Waziri Mkuu Kiboko ya Makaburu … Edward Moringe Sokoine

leave a comment »

Edward Moringe Sokoine ... aliyepata kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na ambaye alifariki dunia tarehe 12 Aprili 1984.

Edward Moringe Sokoine … aliyepata kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania na ambaye alifariki dunia tarehe 12 Aprili 1984.

Naam. Miongo inazidi kukatika. Lakini hatutakaa tukusahau kamwe. Unaendelea kuishi katika mioyo na kumbukumbu njema za wapigania haki za wanyonge, wapenda amani, wapenda maendeleo ya umma mpana … wale wanaojali USAWA wenye HAKI. Unakumbukwa kwa upendo mkuu. Kiwango chako cha uzalendo bado hakina mfano. Makaburu (wanyonyaji wa haki za wanyonge kokote duniani) walikuhara, nawe hukuwaogopa. Nani kama wewe? Hakuna. Hata kifo hakikuweza kufunika ukuu wako katika kupigania yale uliyoyaamini — haki, usawa, uwazi, ukweli, uchapa kazi na upendo.

Upumzike kwa amani, uione nuru ile ya milele. Amina.

Advertisements

Written by simbadeo

April 11, 2013 at 10:04 pm

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: