simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Mystery of the Cross … Fumbo la Msalaba

leave a comment »

Ijumaa Kuu. Parokia ya Mt. Klara, Mongolandege, Jimbo Kuu la Dar es Salaam.

Ijumaa Kuu. Parokia ya Mt. Klara, Mongolandege, Jimbo Kuu la Dar es Salaam.

Fumbo. Misukosuko ya kukosekana kwa amani kwa sababu ya ‘kuchinja’. Watu kuuwawa kwa sababu ya ‘imani za kishirikina’. Tanesco kitanzini kwa deni la Dowans ‘kwa sababu kuna wataalamu wetu waliobobea kwenye utaalamu wao waliotia saini mikataba mibovu’. Huduma za jamii kuzidi kuparaganyika — elimu, afya, miundombinu, usalama, masoko n.k. Kulindana kunakozidi kupanua wigo kunakozaa ‘wanaoguswa na sheria na wasioguswa na sheria’. Uwajibikaji usiozingatia kanuni ya ‘responsible freedom’. Maadili kitanzini. Rushwa. Kujikomba. Kukosa heshima kwa utu wa mtu.

Msalaba. Fumbo. Akili inapogota kupata majibu kwa maswali kedekede.

Pamoja sana!

Advertisements

Written by simbadeo

April 10, 2013 at 12:37 am

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: