simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Kenya … Twawatakia Mapambazuko Mema

leave a comment »

Naam. Ni katikati ya jiji la Nairobi, Kenya. Hekaheka huku na huko.

Naam. Ni katikati ya jiji la Nairobi, Kenya. Hekaheka huku na huko.

Hii ni kuwatakia jirani zetu wa Kenya mapambazuko mema. Jana ameapishwa Rais wa nne wa jamhuri hiyo. Madhali uchaguzi umepita kwa amani, tunawaasa mwiendeleze, muidumishe, mjenge madaraja ya maelewano na ushirikiano ili kumwondoa mtu wa hali ya chini kutoka hapo alipo aendele juu zaidi. Ubinafsi, uchoyo visipewe nafasi.

Tunawatakia mapambazuko mema na mwanzo mpya!

Advertisements

Written by simbadeo

April 10, 2013 at 11:53 am

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: