simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Tanzania Daima … Tanzania Kwanza

with 2 comments

Naam. Tanzania Kwanza. Kila unapoanza siku mpya, juma jipya, mwezi mpya, mwaka mpya, dakika mpya ... hakikisha unaiweka Tanzania Kwanza kabla ya mambo mengine yote.

Naam. Tanzania Kwanza. Kila unapoanza siku mpya, juma jipya, mwezi mpya, mwaka mpya, dakika mpya … hakikisha unaiweka Tanzania Kwanza kabla ya mambo mengine yote.

Tanzania ndiyo nyumbani. Tanzania ndiyo mama. Tanzania ndiyo hatma yetu. Wewe, mimi, yule sote tuna wajibu mkubwa wa kuilinda na kuiendeleza nchi hii. Jambo hili linawezekana tu kwa sisi sote, kila mmoja kwa nafasi yake, pale alipo, kuwa mwaminifu kwa Tanzania. Kila unachofanya waza hivi — Tanzania imepata au Tanzania imepoteza. Ikiwa utaona kwamba kwa utakachokifanya Tanzania inapoteza, basi achana nacho, kwani si kizuri hata kwako wewe. Maana Tanzania ndiyo tawi tulilolikalia … na kwa kila ambacho unaona hakifai kwa Tanzania lakini bado ukaamua kukifanya, basi jua kwamba ni sawa na mtu anayekata tawi alilolikalia. Fikiria, litakapoanguka tawi hilo, nini kitafuatia?

Naama. Tanzania Daima. Tanzania Kwanza. Ingefaa hii iwe sala yetu ya kuanza siku na kumaliza siku.

Pamoja sana. Wiki njema yenye uzalishaji na afya njema kwa kila mdau atakayepita hapa.

Advertisements

Written by simbadeo

April 8, 2013 at 8:49 am

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

  1. Naunga mkono hoja

    Like

    jennifer

    April 8, 2013 at 9:24 am


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: