simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Ubunifu … Ubora na Thamani ya Fedha

leave a comment »

Mtindo wa usafishaji viatu katika Jiji la Nairobi ...

Mtindo wa usafishaji viatu katika Jiji la Nairobi …

Babu hapo akisafishiwa viatu vyake. Wakati akifanya hivyo, anapewa gazeti la siku hiyohiyo ili walau apitie vichwa vya habari. Na hili si moja katika magazeti pendwa, la hasha, ni yale ‘serious’. Ili viatu vyake visafishwe, si lazima yeye avivue na kupewa ‘ndala/yeboyebo’, no, vinasafishwa huku mwenyewe amevivaa.

Na zaidi sana, kama ulikuwa na hekaheka za mchana kutwa, wakati huo pia ni wa kupumzika kidogo kivulini. Hakuna dhambi kuiga kitu kilicho kizuri … sana sana nawe ongeza ubunifu wako mambo yanaenda. Twende na wakati, tutoke tuliko!

Na yote hiyo ni kwa ‘fifty bob!’ Kama ‘buku’ hivi ya bongo. Thamani ya fedha.

Pamoja sana!

Advertisements

Written by simbadeo

March 28, 2013 at 12:00 am

Posted in Siasa na jamii

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: