simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Huduma ya Simu … Enzi Zimepita?

leave a comment »

Ni mwaka 2007. Katika kona nyingi za mitaa kulikuwa na vijana (na watu wazima wachache) waliokuwa wakifanya biashara ya huduma za simu. Ilivyokuwa ... wewe humiliki simu yako mkononi. Unakwenda kwa hawa watoa huduma. Unalipa Sh300 au Sh400. Unapiga simu kwa kutumia simu yake kwenda kwa mtu unayetaka kuongea naye. Gharama hiyo ilikuwa kwa muda wa dakika moja. Ukiongea zaidi, basi unalipa zaidi pia. Huduma hizi sizioni siku hizi ... je, ni kwa sababu kila mtu sasa anamiliki simu? Kuna kazi/biashara huja na kutoweka haraka sana ... mara nyingine bila kuacha alama! Tuendelee kukumbushana ya siku zilizopita!

Ni mwaka 2007. Katika kona nyingi za mitaa kulikuwa na vijana (na watu wazima wachache) waliokuwa wakifanya biashara ya huduma za simu. Ilivyokuwa … wewe humiliki simu yako mkononi. Unakwenda kwa hawa watoa huduma. Unalipa Sh300 au Sh400. Unapiga simu kwa kutumia simu yake kwenda kwa mtu unayetaka kuongea naye. Gharama hiyo ilikuwa kwa muda wa dakika moja. Ukiongea zaidi, basi unalipa zaidi pia. Huduma hizi sizioni siku hizi … je, ni kwa sababu kila mtu sasa anamiliki simu? Kuna kazi/biashara huja na kutoweka haraka sana … mara nyingine bila kuacha alama! Tuendelee kukumbushana ya siku zilizopita!

Advertisements

Written by simbadeo

March 21, 2013 at 10:33 pm

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: