simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Zamani Kidogo … Tunakumbushia

leave a comment »

Ni mitaa ya Njombe ... Novemba 2009. Hii ndiyo barabara kuu iendayo hadi Songea kupitia Njombe kutoka Iringa, Morogoro na Dar es Salaam ...

Ni mitaa ya Njombe … Novemba 2009. Hii ndiyo barabara kuu iendayo hadi Songea kupitia Njombe kutoka Iringa, Morogoro na Dar es Salaam …

Milima ya Uluguru ... kama inavyoonekana kutokea Msamvu ... Novemba 2009 ... Ukiona hivi ni lazima umkumbuke Mbaraka Mwinshehe na wimbo wake ... Maji yatiririka ... Sijui kama bado maji hayo yapo au la!

Milima ya Uluguru … kama inavyoonekana kutokea Msamvu … Novemba 2009 … Ukiona hivi ni lazima umkumbuke Mbaraka Mwinshehe na wimbo wake … Maji yatiririka … Sijui kama bado maji hayo yapo au la!

Ferry ... Dar es Salaam. Ni mwezi July 2007 ... Chombo kinachapa kazi ... pamoja na uzee wake...

Ferry … Dar es Salaam. Ni mwezi July 2007 … Chombo kinachapa kazi … pamoja na uzee wake…

Bwawa la Mindu ... Chanzo Muhimu sana cha maji kwa 'Mji Kasoro Bahari', yaani Morogoro ...

Bwawa la Mindu … Chanzo Muhimu sana cha maji kwa ‘Mji Kasoro Bahari’, yaani Morogoro …

Naam. Tunakumbushana taswira mbalimbali za miaka mitatu na kuendelea iliyopita. Ya kale ni dhahabu … Wahenga walinena!

Advertisements

Written by simbadeo

March 20, 2013 at 11:19 pm

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: