simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Zilipendwa … Mwezi Machi 2009

leave a comment »

Mwezi Machi huwa ni kipindi cha masika jijini Dar. Mara nyingine hali huwa kama hii ... mvua husababisha mafuriko na maji kujaa barabarani ... watu hubebwa kwenye mikokoteni na migongoni ... Hii ni miaka nenda miaka rudi...

Mwezi Machi huwa ni kipindi cha masika jijini Dar. Mara nyingine hali huwa kama hii … mvua husababisha mafuriko na maji kujaa barabarani … watu hubebwa kwenye mikokoteni na migongoni … Hii ni miaka nenda miaka rudi…

Soka ni burudani ya aina yake, hata hivyo, burudani hiyo inanoga zaidi pale wanadada wanapokuwa miongoni mwa wasimamizi wa soka la wanaume ... Usawa wa kijinsia bila shaka!

Soka ni burudani ya aina yake, hata hivyo, burudani hiyo inanoga zaidi pale wanadada wanapokuwa miongoni mwa wasimamizi wa soka la wanaume … Usawa wa kijinsia bila shaka!

Kwa hakika ... tunahitaji kufanya mazoezi zaidi ... au wengine ni miili ya kurithi? Kuna mtu aliwahi kusema 'urefu wetu au ufupi wetu ni suala lililoamriwa na Muumba, lakini unene au wembamba ni uumbaji wetu wenyewe'! Kazi ipo.

Kwa hakika … tunahitaji kufanya mazoezi zaidi … au wengine ni miili ya kurithi? Kuna mtu aliwahi kusema ‘urefu wetu au ufupi wetu ni suala lililoamriwa na Muumba, lakini unene au wembamba ni uumbaji wetu wenyewe’! Kazi ipo.

Naam ... mwanadada akiwa kazini ... Mpira ukipanda naye anapanda ... ukishuka naye anashuka. Ni katika Kiwanja cha Sitakishari, Ukonga jijini Dar.

Naam … mwanadada akiwa kazini … Mpira ukipanda naye anapanda … ukishuka naye anashuka. Ni katika Kiwanja cha Sitakishari, Ukonga jijini Dar.

Advertisements

Written by simbadeo

March 19, 2013 at 1:19 am

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: