simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Kumekucha … Wiki Mpya Michongo Mipya

with 2 comments

Kumekucha. Kila mmoja ajishughulishe. Afanye kazi halali. Ajipatie kipato. Aendeshe maisha yake. Alipe kodi zinazostahiki. Tuijenge nchi yetu. Pengine lililo la muhimu zaidi ni namnga gani tunaweza kubadili aina hizi za ajira ili zipatikane zenye kuleta tija zaidi ... kwa maana ya kuuza zaidi vile tunavyozalisha wenyewe ... Wiki njema. Pamoja sana!

Kumekucha. Kila mmoja ajishughulishe. Afanye kazi halali. Ajipatie kipato. Aendeshe maisha yake. Alipe kodi zinazostahiki. Tuijenge nchi yetu. Pengine lililo la muhimu zaidi ni namnga gani tunaweza kubadili aina hizi za ajira ili zipatikane zenye kuleta tija zaidi … kwa maana ya kuuza zaidi vile tunavyozalisha wenyewe … Wiki njema. Pamoja sana!

Advertisements

Written by simbadeo

March 18, 2013 at 10:49 am

2 Responses

Subscribe to comments with RSS.

 1. asiyefanya kazi na asile…jumatatu iwe njema kwako pia…

  Like

  yasinta/kapulya

  March 18, 2013 at 12:50 pm

  • Ni kweli. Kazi ni kipimo cha utu. Unapojituma ndivyo unavyodhihirisha kiwango cha utu wako.

   Like

   simbadeo

   March 18, 2013 at 8:35 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: