simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Tafakari … Jumapili Njema

with one comment

Ni Jumapili nyingine. Ni wakati wa kutafakari juma lingine na masuala mbalimbali ya kutekeleza katika juma hilo. Maisha yanakwenda mbio. Wakati ni mfupi. Yafaa kila mara kujiuliza jinsi tunavyotumia muda wetu. Je, tunautumia kwa namna yenye kuleta tija? Je, tunajiruhusu kupoteza sekunde, dakika, siku na hata siku kadhaa? Tanzania yetu itajengwa na sisi wenyewe kwa namna tunavyotumia muda kwa njia bora. Jitafakari, safari bado ni ndefu kama ilivyo bahari ... haina mwisho!

Ni Jumapili nyingine. Ni wakati wa kutafakari juma lingine na masuala mbalimbali ya kutekeleza katika juma hilo. Maisha yanakwenda mbio. Wakati ni mfupi. Yafaa kila mara kujiuliza jinsi tunavyotumia muda wetu. Je, tunautumia kwa namna yenye kuleta tija? Je, tunajiruhusu kupoteza sekunde, dakika, siku na hata siku kadhaa? Tanzania yetu itajengwa na sisi wenyewe kwa namna tunavyotumia muda kwa njia bora. Jitafakari, safari bado ni ndefu kama ilivyo bahari … haina mwisho!

Advertisements

Written by simbadeo

March 16, 2013 at 11:04 pm

One Response

Subscribe to comments with RSS.

  1. jumapili njema nawe pia…naendelea kutafakari hapa…

    Like

    yasinta/kapulya

    March 17, 2013 at 12:59 pm


Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: