simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Enclave …Mchakato wa Kumpata Papa Mpya Unaendelea

leave a comment »

Atapatikana Mmoja ... Atakayekuwa Mtumishi wa Wote ...

Atapatikana Mmoja … Atakayekuwa Mtumishi wa Wote …

Waumini Wakatoliki Katika Maombi Maalumu

Waumini Wakatoliki Katika Maombi Maalumu

Makardinali Wakisali

Makardinali Wakisali

Makardinali ...

Makardinali …

Naam. Upapa si lelemama. Upapa ni ukhalifa wa Petro. Juu ya msingi wa Petro ndipo liliposimikwa Kanisa Katoliki. Na yeye anayeshika wadhifa huo … kwanza kabisa ni mtumishi wa watu wote. Anaunganisha mnyororo usiokatika wa mapapa … hivi sasa ni zaidi ya 240 tangu Mtume Petro. Misukosuko ni sehemu ya kuliimarisha na kuliamsha Kanisa hasa pale linaposahau wajibu wake kwa Mungu na kwa binadamu … kuendeleza wema,upendo, umoja, kusameheana, kuelewana, kunyanyua hali za wanyonge si kimwili tu bali kiroho na kiutu pia. Kila la kheri Makardinali.

Source of photos: BBC News

Advertisements

Written by simbadeo

March 12, 2013 at 4:38 pm

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: