simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Kenya … Final Count of Election Votes

leave a comment »

Uhuru Kenyatta

Uhuru Kenyatta

Raila Odinga

Raila Odinga

Final count posted by IBEC from Bomas of Kenya ... 291/291 constituencies ... Who is victorious ... calculate the Maths!

Final count posted by IBEC from Bomas of Kenya … 291/291 constituencies … Who is victorious … calculate the Maths!

Hatimaye kazi ya kuhesabu kura za uchaguzi wa nchini Kenya imekamilika. Imebaki utangazaji wa nani ameibuka mshindi katika kinyang’anyiro hicho kilichokuwa na ushindani mkali sana hasa kati ya Uhuru Kenyatta na Raila Odinga.

Pamoja na matokeo hayo, ushindi si hasa wa yule atakayetangazwa mshindi bali ni ushindi wa watu wa Kenya kwa moyo wa subira na ustahimilivu pamoja na kumudu hisia zao katika kipindi hiki cha kuhesabu. Sisi tulio majirani zao tunawatakia mwendelezo wa ustahimilivu huo hata baada ya mshindi kutangazwa na kuapishwa. Kilichobaki hivi sasa ni kufanya kazi, kujenga nchi, kumaliza tofauti za kikabila, kihadhi na kuenzi amali za kuheshimiana, kuaminiana na kuthaminiana.

Hongereni watu wa Kenya.

Advertisements

Written by simbadeo

March 9, 2013 at 2:58 am

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: