simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Happy … Women’s Day

leave a comment »

Tina (left) and Cesi ... Some of the women who are closest to my heart ... there are others as well!

Tina (left) and Cesi … Some of the women who are closest to my heart … there are others as well!

Mpanda Catholic Choir

Mpanda Catholic Choir

This is to wish all women a very happy day.

Hii ni kuwatakia wanawake wote duniani heri ya sikukuu yao.

Siku hii itumike kumwenzi mwanamke … kumheshimu, kumrudishia upendo, kuenzi umama wake.

Kwa hakika, wanawake ni kiungo muhimu sana katika ustawi wa maisha ya mwanadamu.

Tunawaenzi, tunawapenda, tunawaheshimu.

Mtuwie radhi pale baadhi yetu wanapowahujumu kwa namna moja au nyingine. Tunapofanya hivyo, msitufumbie macho!

Blogu hii inawatakieni heri tele kwa siku yenu hii, iwe ya ukombozi kamili wa kifikra, iwe ya kuwajenga kiujasiri ili mwendelee kuonyesha umama wenu na kuifanya jamii kuwa mahali bora zaidi kimaendeleo. Ya leo yasiishie leo tu, bali harakati za leo ziwe mwanzo.

Pamoja sana!

Advertisements

Written by simbadeo

March 7, 2013 at 11:03 pm

Posted in Siasa na jamii

Tagged with , ,

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s

%d bloggers like this: