simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Bei za Bidhaa … 2000 vs 2013

leave a comment »

Bei za bidhaa tarehe 3 Septemba 2000

Bei za bidhaa tarehe 3 Septemba 2000Bei ya bidhaa hizo mwaka 2013

Mchele 20kgs = Sh2,500 x 20 = Sh50,000
Unga 5kgs = Sh1,400 x 5 = Sh 7,000
Mafuta/taa 5 = Sh1,900 x 5 = Sh 9,500
Mkaa gunia 1 = Sh35,000 x 1 = Sh35,000
Blue Band 1kg= Sh 7,000 x 1 = Sh 7,000
Maharage 5kgs= Sh 2,000 x 5 = Sh10,000
Sukari 5kgs = Sh 1,800 x 5 = Sh 9,000
Chai Bora 0.5 Sh 3,000 x 1 = Sh 3,000

JUMLA KUU: Sh140,500

Kwa ujumla maisha yamepanda. Kuna mambo mengi yaliyochangia hali hii, baadhi ni, kushuka kwa thamani ya shilingi, kuadimika kwa baadhi ya bidhaa (au kuongezeka kwa mahitaji ya bidhaa hiyo wakati uzalishaji bado uko chini), kukosekana kwa udhibiti wa kutosha wa mfumuko wa bei, mabadiliko kwa bei za baadhi ya bidhaa katika soko la dunia (kama vile mafuta) na mambo mengine mengi.

Mwalimu wangu mmoja alikuwa na msemo wake: The faintest ink is better than the strongest memory. Alikuwa na maana kwamba ni muhimu kuandika kila kile tunachofikiri kwamba ni muhimu ili tuweze kukumbuka vema. Maandiko hayo yalikuwa kwa ajili ya bajeti ya kaya yangu zaidi ya miaka 10 iliyopita. Kaya ilikuwa ndogo. Unaweza kukisia siku hizi ambapo kaya imeongezeka matumizi nayo yamepanda kiasi gani.

Pamoja jana. Hii ilikuwa ni kuwashirikisha tu kumbukumbu ya zamani na kulinganisha na hali ilivyo leo.

Advertisements

Written by simbadeo

February 28, 2013 at 11:04 pm

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: