simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Dar … Mgogoro wa Maegesho

leave a comment »

Maeneo mengi kuna tangazo linalofanana na hili kwa maudhui. Linavyotamkika kwangu ni kwamba: Wewe ni mgeni wetu, unaruhusiwa kuegesha hapa, lakini lolote litakalotokea kwa gari lako, sisi hatumo! 
Sasa sijui wanataka ukiegesha na kisha ukae hapohapo ili kulinda gari hilo? Wadau, mnieleweshe.

Maeneo mengi kuna tangazo linalofanana na hili kwa maudhui. Linavyotamkika kwangu ni kwamba: Wewe ni mgeni wetu, unaruhusiwa kuegesha hapa, lakini lolote litakalotokea kwa gari lako, sisi hatumo!
Sasa sijui wanataka ukiegesha na kisha ukae hapohapo ili kulinda gari hilo? Wadau, mnieleweshe.

Mitaa yetu ni myembamba, kisha tunazidi kuifinya namna hii!

Mitaa yetu ni myembamba, kisha tunazidi kuifinya namna hii!

Na namna hii...

Na namna hii…

Na namna hii ... Wakati huohuo, tunazidi kusimika majengo makubwa makubwa, sina hakika kama tumefikiri suala la maegesho litakuwaje. Jengo hilo litakuwa likipokea wastani wa watu 2,000 kwa siku. Nusu yao watakuja na magari yao, hebu piga picha hapo kuhusu crisis hii ... Mara nyingine tusishangae kuona watu wanatwangana makonde kwa ajili ya eneo la maegesho au kuzibiana njia! Mamlaka zinazohusika zishughulikie changamoto hii. Hili ni suala la serikali na mikono yake, si la wananchi, liko nje ya uwezo wao, unless mtu anataka kuwekeza katika ujenzi wa maegesho ya ghorofa ... sidhani kama wapo wengi hawa!

Na namna hii … Wakati huohuo, tunazidi kusimika majengo makubwa makubwa, sina hakika kama tumefikiri suala la maegesho litakuwaje. Jengo hilo litakuwa likipokea wastani wa watu 2,000 kwa siku. Nusu yao watakuja na magari yao, hebu piga picha hapo kuhusu crisis hii … Mara nyingine tusishangae kuona watu wanatwangana makonde kwa ajili ya eneo la maegesho au kuzibiana njia! Mamlaka zinazohusika zishughulikie changamoto hii. Hili ni suala la serikali na mikono yake, si la wananchi, liko nje ya uwezo wao, unless mtu anataka kuwekeza katika ujenzi wa maegesho ya ghorofa … sidhani kama wapo wengi hawa!

Advertisements

Written by simbadeo

February 24, 2013 at 8:49 am

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: