simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Upendo wa Mtoto wa Kike kwa Baba …. Maisha

leave a comment »

Binti na baba.

Binti na baba.

Huwa kuna mvuto mkubwa sana kati ya binti na mzazi wake wa kiume. Vile vile, kati ya mvulana na mzazi wake wa kike. Wakati huohuo, msichana na mzazi wake wa kike huwa hawaishi kutunishiana misuli, vivyo hivyo kwa mvulana na mzazi wake wa kiume. Kwa hakika kuna siri kubwa katika kazi hii ya uumbaji. Na hali hii huwepo zaidi hadi vijana wanapofikisha umri wa takribani miaka 15. Baada ya hapo hali huwa tofauti kidogo.

Upendo wa baba kwa binti na upendo wa mama kwa mwanae wa kiume. Saikolojia iliyo nyuma yake ni ipi? Je, wewe umewahi kushuhudia uhusiano wa aina hiyo? Iwe ni katika familia yako au ya rafiki, jirani, ndugu n.k.? Hebu kila mmoja amwage hapa pointi zake tupate kueleweshana.

Pichani ni rafiki yangu na binti yake. Tabasamu ambalo kila mmoja amelivaa hapo linajieleza vema kabisa kwamba wana uhusiano wa aina gani … bila shaka ni aina ile kama ilivyoelezwa hapo juu.

Pamoja sana.

Advertisements

Written by simbadeo

February 14, 2013 at 11:30 pm

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: