simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Ash Wednesday … Jumatano ya Majivu

leave a comment »

Throngs of Catholic believers come out of Christ the King Parish, Tabata in Dar es Salaam. Makumi ya Waumini Wakristo Wakatoliki wakitoka katika Kanisa la Kristo Mfalme, Tabata, Dar es Salaam. Ilikuwa mara baada ya Ibada ya Jumatano ya Majivu tarehe 13 Feb 2013.
Juzi Baba Mtakatifu, aliye kiongozi wa Kanisa hilo ulimwenguni kote alitangaza kujiuzulu wadhifa wake huo ifikapo mwisho wa mwezi huu. Tumsindikize kwa sala na maombi. Kwa kitendo chake hicho ameonyesha ukomavu wa hali ya juu kiimani, kiakili na kibinadamu kwa ujumla. Ni vema viongozi wetu wote katika nyanja mbalimbali za maisha ya binadamu waige mfano huu.

Advertisements

Written by simbadeo

February 13, 2013 at 11:30 pm

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: