simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Tuchore … Tusome

leave a comment »

Tina Bahati akipaka rangi kwenye mchoro.

Tina Bahati akipaka rangi kwenye mchoro.

Ceci Simba ... akiwa ametekwanyara na vijitabu vya katuni zenye mafunzo. Soma. Soma. Soma. Ni muhimu kusoma. Kusoma husaidia akili kuendelea kubaki kijana ... kama huamini ... jaribu uone!

Ceci Simba … akiwa ametekwanyara na vijitabu vya katuni zenye mafunzo. Soma. Soma. Soma. Ni muhimu kusoma. Kusoma husaidia akili kuendelea kubaki kijana … kama huamini … jaribu uone!

Tuwape watoto nafasi ya kujishughulisha na kazi za ubunifu. Tuwawekee watoto vitabu mikononi mwao. Wahenga walisema, samkai mkunje angali mbichi. Jamii yetu inahitaji sana kuimarisha suala zima la usomaji, ubunifu na kuendeleza kazi za sanaa. Tuandike miswada, tujishughulishe na kazi za ubunifu ili kuifanya nchi yetu iwe nzuri zaidi kwa maana zote.

Pamoja sana na Jumamosi njema!

Advertisements

Written by simbadeo

February 2, 2013 at 10:11 am

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: