simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Changing Face of Dar es Salaam … Mtaa Gani Huu?

leave a comment »

Ama kwa hakika sura na mwonekano wa mitaa ya Jiji la Dar es Salaam vinabadilika kwa kasi kubwa sana. Je, unaweza kuutambua mtaa huo? Okay, si vibaya nikikutajia ... ni Mtaa wa Lumumba, Mnazi Mmoja ... Mabadiliko yanakuja. Wakati kuna mabadiliko ya aina hii, nadhani ni vema wapanga mipango ya maendeleo wakapanga namna gani maisha ya Watanzania wa kawaida nayo yatabadilika kwa uzuri. Mathalani, kazi za kubahatisha -- kuchuuza bidhaa barabarani n.k. zipunguzwe na hatimaye zimalizwe kwa kutengenezwa nafasi za kazi zenye hadhi na zenye mchango mkubwa zaidi katika uchumi wa Taifa. Hii ni hasa sasa hivi ambapo nchi yetu inaelekea kwenye uchumi wa ngazi ya kati utakaoendeshwa kwa gesi ... Maisha ya watu pia yabadilike! Mabadiliko yasiishie kwenye majengo tu!

Ama kwa hakika sura na mwonekano wa mitaa ya Jiji la Dar es Salaam vinabadilika kwa kasi kubwa sana. Je, unaweza kuutambua mtaa huo? Okay, si vibaya nikikutajia … ni Mtaa wa Lumumba, Mnazi Mmoja … Mabadiliko yanakuja. Wakati kuna mabadiliko ya aina hii, nadhani ni vema wapanga mipango ya maendeleo wakapanga namna gani maisha ya Watanzania wa kawaida nayo yatabadilika kwa uzuri. Mathalani, kazi za kubahatisha — kuchuuza bidhaa barabarani n.k. zipunguzwe na hatimaye zimalizwe kwa kutengenezwa nafasi za kazi zenye hadhi na zenye mchango mkubwa zaidi katika uchumi wa Taifa. Hii ni hasa sasa hivi ambapo nchi yetu inaelekea kwenye uchumi wa ngazi ya kati utakaoendeshwa kwa gesi … Maisha ya watu pia yabadilike! Mabadiliko yasiishie kwenye majengo tu!

Advertisements

Written by simbadeo

February 2, 2013 at 10:23 am

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: