simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Maji … Maji, Yako Wapi Maji?

leave a comment »

Hatuna budi kubadilisha hali hii. Ni lazima tutoke hapa tulipo twende katika kuleta huduma bora zaidi. Hata kama kuna watu wanapata ajira kwa kusambaza maji namna hii, lakini hii si sahihi. Watu wanastahili kuwa na ajira bora zaidi ya hii. Rasilimali zetu zitusaidie kuondoka hapa ... Kinachotakiwa ni utulivu, maelewano na hekima katika mgawanyo na utumiaji. Haki, nidhamu, uzalendo na mshikamano ni baadhi ya mambo ya kuzingatia.

Hatuna budi kubadilisha hali hii. Ni lazima tutoke hapa tulipo twende katika kuleta huduma bora zaidi. Hata kama kuna watu wanapata ajira kwa kusambaza maji namna hii, lakini hii si sahihi. Watu wanastahili kuwa na ajira bora zaidi ya hii. Rasilimali zetu zitusaidie kuondoka hapa … Kinachotakiwa ni utulivu, maelewano na hekima katika mgawanyo na utumiaji. Haki, nidhamu, uzalendo na mshikamano ni baadhi ya mambo ya kuzingatia.

Advertisements

Written by simbadeo

January 24, 2013 at 9:56 am

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: