simbadeo2000

WAZA MPAKA BASI (THINK TO NO END).com weblog NOTE: Views or opinions expressed in this blog do NOT in any way represent those of any organisation, community, association, company, circle of friends, religious or ethnic group to which I am associated with.

Friends or Foes? … No … Competitors!

leave a comment »

Hapa ni mashaka tu. Mwaga punje za mchele hapo na kila mmoja atazipigania. Hapa kila mmoja ni mjanja kwenye anga yake. Nafikiri tunaweza kuwafananisha na wanasiasa na vyama vyao ... kila kimoja kina ujanja wake katika kujipatia kura yako. Kibaiolojia ... kila kimoja kina umuhimu wake (negatively or positively). Tutafakari hatma ya siasa na nchi yetu ... hususan hivi sasa ambapo mali-asili kibao zinazidi kuvumbuliwa, mali-asili ambazo katika nchi nyingine kadhaa zimegeuka kuwa laana badala ya baraka. Ni vema sisi tujifunze kuwa makini tusije angukia pua kama Taifa. Umimi usipewe nafasi hata chembe ... tujifikirie SISI sote. Pamoja sana!

Hapa ni mashaka tu. Mwaga punje za mchele hapo na kila mmoja atazipigania. Hapa kila mmoja ni mjanja kwenye anga yake. Nafikiri tunaweza kuwafananisha na wanasiasa na vyama vyao … kila kimoja kina ujanja wake katika kujipatia kura yako. Kibaiolojia … kila kimoja kina umuhimu wake (negatively or positively). Tutafakari hatma ya siasa na nchi yetu … hususan hivi sasa ambapo mali-asili kibao zinazidi kuvumbuliwa, mali-asili ambazo katika nchi nyingine kadhaa zimegeuka kuwa laana badala ya baraka. Ni vema sisi tujifunze kuwa makini tusije angukia pua kama Taifa. Umimi usipewe nafasi hata chembe … tujifikirie SISI sote. Pamoja sana!

Advertisements

Written by simbadeo

January 17, 2013 at 9:01 am

Posted in Siasa na jamii

Tagged with , , , ,

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

%d bloggers like this: